Placeholder

You are viewing: Adhabu ya Siafu

100 KSh
Add to cart

Adhabu ya Siafu

Category:

100 KSh

Description

Je, unamjua siafu? Kwa kimo chake kidogo anawezaje kumdhuru binadamu? Baraka na Zawadi wanaadhibiwa vikali na siafu kwa kutofuata ushauri wa wazazi wao. Hadithi hii inalenga kuwafunza wasomaji umuhimu wa kufuata maagizo na mawaidha ya wazazi. Ni onyo kwa watoto wasiofuata maagizo ya wakubwa wao.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Adhabu ya Siafu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *