Placeholder

You are viewing: Ahaa! Roda

100 KSh
Add to cart

Ahaa! Roda

Category:

100 KSh

Description

“Roda ni msichana mdogo ambaye ana ndoto ya kufanikiwa maishani – ndoto ya kuwa jaji. Maisha katika kijiji cha Tupe si rahisi hata kidogo. Kwanza anatoweka asijulikane alipo. Pili mama yake anauawa kinyama na watu wasiojulikana. Baada ya mazishi ya mama yake, mjomba wake Bwana Kilemba anamchukua ili kumtunza. Mke wake Bibi Mnuna yuaonekana kutopendezwa na hatua hiyo. Anageuka kuwa katili kwake Roda. Je, Roda ataweza kuitimiza ndoto yake mikononi mwa Mnuna? Usisubiri kuambiwa uisome
hadithi hii. “

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Ahaa! Roda”

Your email address will not be published. Required fields are marked *