Placeholder

You are viewing: Ahsante ya Punda

180 KSh
Add to cart

Ahsante ya Punda

Category:

180 KSh

Description

Ahsante ya Punda 6d ni kitabu ktnacholenga wanafunzi wa Darasa to Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya tamthlia na mbinu rejeshi.
kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia dayolojia, misemo, methali, taharuki, kejeli, chuku, utani, wimbo, vichekesho, majina ya majazi na picha za rangi zenye kusisimua.
kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani na kijijiini na matatizo yoke, ujirani, mahakamani na mambo ya kisheria, stadi za maisha, uwajibikaji, kazi, utu, uaminifu, uadilifu, ushirikiano, haki za binadamu, kuishi kwa utangamano na amani.
Mradi wa Kusoma ni mfulutizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi a Kiswahiti Sanifu.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Ahsante ya Punda”

Your email address will not be published. Required fields are marked *