Placeholder

You are viewing: Alidhani Kapata

500 KSh
Add to cart

Alidhani Kapata

Category:

500 KSh

Description

Alidhani Kapata na hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zinazoshughulikia maswala mbalimbali yanayoziathiri jamii zeta, hususan maswala ibuka kama vile: ufisadi, ukimwi, uhifadhi wa mazingira, unyumba na kadhalika. Aidha, hadithi hizi zimeandikwa na waandishi wenye tajriba tofauti za kimaisha – kuna wale ambao wana tajriba kubwa ki-umri na ki-uandishi, na pia kuna vijana ambao wanaandika kwa mara yao ya kwanza. Pamoja na hayo, diwani hii imejumuisha waandishi wa kiume na wa kike, iimuradi kuzipa jinsia zote nafasi ya kujieieza na kusikika. Ni hadithi ambazo zitasisimua na kuchochea hisia za masikitiko; zitasuta udhaifu wa kibinadamu na pia kutoa mwelekeo ufaao.

Additional information

Publisher

ISBN

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Alidhani Kapata”

Your email address will not be published. Required fields are marked *