Placeholder

You are viewing: Busara na Hekima

175 KSh
Add to cart

Busara na Hekima

Category:

175 KSh

Description

Kauli mbiu ya hadithi hii ni ‘Tunza mazingira
yakutunze.’ Mwandishi anatuchorea
taswira mbili tofauti za wanadamu
ambao wameyaharibu mazingira yao
na hivyo kupata matatizo chungu nzima
yanayotokana na hali hii na hali ya
wanyama ambao wanatunza mazingira yao
na kufurahia matunda yake. Kitabu hiki ni
mwito mpya wa kutunza mazingira hasa
mapori na mbuga.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Busara na Hekima”

Your email address will not be published. Required fields are marked *