Placeholder

You are viewing: BWANA KANORU AFISA FISADI

300 KSh
Add to cart

BWANA KANORU AFISA FISADI

Category:

300 KSh

Description

“Kitabu hiki kinaangazia mambo mawili ambayo yanatatiza nchi nyingi za ulimwengu, uharibifu wa mazingira na
ufisadi. Ni wazi kwamba mambo haya mawili ni lazima yakabiliwe vilivyo kwa kuihamashisha jamii kuanzia utotoni
mwao. Mitalaa ya elimu ina umuhimu sana katika kutatua maswala haya. Kitabu hiki kinalenga watoto wa miaka
9 – 10.

Mwandishi anaeleza mambo haya mawili
kwa lugha nyepesi kupitia hadithi ya
watoto. Anaangazia madhara ya matukio
haya mawili. Mwandishi pia anawatuza
wale ambao hufuata maadili mema katika
jamii.

Mwandishi ameandika vitabu vingine vya watoto na riwaya za watu wazima kama, THE WIDOWS OF AFRICA –
DAUGHTER OF MUTI (MWARI WA MUTI), CHIEF JOTHAM AND HIS SYCOPHANTS, KAROSI’S MAIZE
FLOUR CHAPATI, KAROSI NA CHAPATI YA MAHINDI na CORRUPT KANORU. “

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “BWANA KANORU AFISA FISADI”

Your email address will not be published. Required fields are marked *