Placeholder

You are viewing: Chemichemi za Kiswahili Kidato cha Tatu

280 KSh
Add to cart

Chemichemi za Kiswahili Kidato cha Tatu

Category:

280 KSh

Description

Chemichemi za Kiswahili ni mfulilizo mpya wa vitabu vya kiswahili ambavyo vimetayarishwa kwa kufuata silabasi mpya kwa shule za upili. Kitabu cha chemichemi za kiswahili, kidato cha pili kimezingatia mambo yafuatayo: Vifungu vya ufahamu vya kuvutia na kusisimua vitakavyompa mwanafunzi mafunzo na mazoezi teletele, Maelezo na ufafanuzi mustahili wa vipengele mbalimbali vya fasihi andishi na fasihi simulizi, ufafanuzi wa kina kifaacho kuhusu uandishi wa kawaida, uandishi wa pamoja na mpangilio mpya wa ngeli, mafunzo na mazoezi ya kusikiliza na kuzungumza , usomaji wa makala mbalimbali katika magazeti, majarida, vitabu na kadhalika.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Chemichemi za Kiswahili Kidato cha Tatu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *