Placeholder

You are viewing: Haki ya Ruto

88 KSh
Add to cart

Haki ya Ruto

Category:

88 KSh

Description

Baba yake Bwana Mwamburi, alifungua mlango wa nyumba yao ya msonge. Alikuwa amekasirika sana.
“Ruto! Ruto rudi hapa! Nilikwambia leo huendi shuleni. Umesikia,” Baba yake akasema.
“Kwa nini baba? Ninataka kusoma. Ninataka niwe daktari. Mwalimu alisema, nikitia bidii masomoni nitakuwa daktari.”

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Haki ya Ruto”

Your email address will not be published. Required fields are marked *