Placeholder

You are viewing: Jicho la Ndani

280 KSh
Add to cart

Jicho la Ndani

Category:

280 KSh

Description

Katika diwani zake za nyuma — Sikate Tamaa na Kina cha Maisha — mshairi huyu. Said A. Mohamed, ameonyesha kukerwa na kujishughulisha sana na matatizo yanayotokea katika nchi yake na Afrika kwa ujumla. Katika diwani hii tunaweza kumwita “mwenyeji” na “mlimwengu” kwani baadhi ya mashairi yake katika diwani hii ni yenye maudhui yanayoakisi matatizo ya dunia yetu nzima hivi leo. Zaidi ya hayo, mshairi huyu amejishughulisha na maswala ya “mapenzi” na ”unyumba”.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Jicho la Ndani”

Your email address will not be published. Required fields are marked *