Placeholder

You are viewing: Jurawa na Ndovu na hadithi nyingine

100 KSh
Add to cart

Jurawa na Ndovu na hadithi nyingine

Category:

100 KSh

Description

Hadithi zilizopo katika mkusanyiko huu zimesimuliwa kwa mtindo wenye mvuto kwa watoto ili kutia makali fikira zao. Mwandishi amezipa hadithi hizi sura na mtazamo wa kiafrika iii kutoa mafunzo na maadili muhimu kwa msomaji. Ni hadithi zinazostahili kwa watoto na watu wazima katika kujenga lugha, maadili, burudani na ufahamu wa miondoko na kunga za maisha kwa jumla.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Jurawa na Ndovu na hadithi nyingine”

Your email address will not be published. Required fields are marked *