Placeholder

You are viewing: K.C.P.E. Golden Tips Kiswahili

347 KSh
Add to cart

K.C.P.E. Golden Tips Kiswahili

Category:

347 KSh

Description

Premier Golden Tips Kiswahili kwa Shule za Msingi ni kitabu cha marudio kinachosheheni yaliyomo yote yanayopendekezwa kufundishwa katika shule za msingi.
Kitabu hiki kina sifa zifuatazo:
• Kimeandikwa kwa utaalamu ili kutosheleza mahitaji ya silabasi ya Kiswahili
• Kinafuata mtindo mpya wa utahini unaotumiwa na Baraza la Kitaifa la Mitihani
• Kinatoa ushauri kuhusu mahitaji ya mitihani ya somo la Kiswahili
• Kinaelimisha kwa kutumia mbinu zinazoelewesha kwa urahisi
• Kinaonesha jinsi ya kujibu maswali ya mtihani kwa kutumia maswali ambayo tayari yamejibiwa
• Kinampa mwanafunzi mazoezi ya kujikumbusha mambo aliyoyasoma – kila sehemu ina mazoezi kemkem na majibu yake.

Kumhusu Mwandishi:
Mwalimu Kipande ni mwandishi na mwalimu mwenye tajiriba pana katika ufundishaji na utahini wa somo la Kiswahili katika shule za msingi nchini Kenya. Amepanga mada kimfululizo na kuzitolea maelezo ya kina katika kitabu hiki. Aidha, maswali katika karatasi za mitihani ishirini kitabuni yameratibiwa kwa namna bora ili kumtayarisha mwanafunzi kufanya mitihani ya Kiswahili.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “K.C.P.E. Golden Tips Kiswahili”

Your email address will not be published. Required fields are marked *