Placeholder

You are viewing: Kamusi Angaza kwa Shule za Msingi

500 KSh
Add to cart

Kamusi Angaza kwa Shule za Msingi

Category:

500 KSh

Description

Kamusi Angaza kwa Shule za Msingi ni zao la utafiti wa kina uliofanywa na mwandishi na wanaleksikografia. Kamusi hii imetungwa kwa utaalamu mkuu na kwa kuzingatia msomaji lengwa. Miongoni mwa sifa za kamusi hii zinazodhihirisha upekee wake ni:

zaidi ya vidahizo 7,000
takriban maneno 170,000
ngeli zimebainishwa ifaavyo
mifano ya sentensi kwa Kiswahili sanifu
picha za kuvutia msomaji
kiambatisho kinachojumuisha picha za wanyama, maumbo, rangi na aina nyingi za ndege.
Kwa msingi wa sifa za kamusi hii, ni dhahiri kuwa kwa kuitumia, mwalimu na mwanafunzi watakuza msamiati, kufahamu ngeli na matumizi yake na vilevile matumizi ya kidahizo husika kutunga sentensi sahihi kisarufi.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kamusi Angaza kwa Shule za Msingi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *