Placeholder

You are viewing: Karani Ajuta

126 KSh
Add to cart

Karani Ajuta

Category:

126 KSh

Description

Siku moja Mzee Ndege na familia yake waliamua kwenda shambani kulima. Karani alifika shambani na kuanza kuwadanganya wazazi wake kwamba alikuwa anaumwa na tumbo na kichwa. Aliamua kukaa chini badala ya kulima. Alishambuliwa na sisimizi na siafu hadi akalia. Kisha, aliamua kwenda kuvua samaki mtoni. Alipoanza kuvua, alimnasa kaa akifikiria ni samaki. Shida zake hazikuishia hapo…

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Karani Ajuta”

Your email address will not be published. Required fields are marked *