Placeholder

You are viewing: KAROSI NA CHAPATI YA MAHINDI

250 KSh
Add to cart

KAROSI NA CHAPATI YA MAHINDI

Category:

250 KSh

Description

“Kitabu hiki kinaweza somwa na watoto wa miaka 10 – 12. Karosi alikuwa ni msichana mdogo
mchangamfu. Alitoka Mombasa alikozaliwa
na kwenda kuishi na nyanya yake pamoja
na mama yake katika miteremko ya Mlima
Kilimanjaro ambapo nyanya yake aliishi.

Mwandishi wa kitabu hiki
James Mwaura Wamuhiu
ameandika riwaya nyingine
mbili kwa Kiingereza. Ya
kwanza iitwayo,The Widows of
Africa – Daughter of Muti (Mwari wa Muti),
inaangazia changamoto zinazowakumba
wajane katika jamii ya sasa ya Kiafrika.

Katika riwaya yake ya pili iitwayo Chief
Jotham And His Sycophants, mwandishi
anaulaumu utawala fisadi unaokandamiza
umma kwa kuupora mali nakutawala
kimabavu.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “KAROSI NA CHAPATI YA MAHINDI”

Your email address will not be published. Required fields are marked *