You are viewing: KCSE TOP MARK KISWAHILI

420 KSh
Add to cart

KCSE TOP MARK KISWAHILI

SKU: CANT66556 Category:

420 KSh

Description

Kitabu hiki kimeandikwa kusudi kuwasaidia wanafunzi wanaojiandaa kwa mtihani wa mwaka wa nne katika sekondari yaani KCSE. Pia, kitawafaa walimu wanaowatayarisha wanafunzi kwa mtihani wa KCSE.
Kitabu hiki kimejumlisha nyanja mbalimbali za lugha, fasihi, mazoezi, mifano ya maswali ya mtihani, maswali ya majaribio, mazoezi ya mseto na majibu ili kuwaandaa wanafunzi vilivyo kwa mtihani wa KCSE.
Kila sehemu ina:
• Maelezo mafupi
• Maswali mengi yaliyojibiwa
• Mifano ya maswali ya majaribio
• Majibu kwa maswali ya mazoezi ya marudio.
Hiki ni mojawapo wa mfululizo wa vitabu vya marudio ya KCSE vilivyochapishwa na KLB. Ni mwongozo muhimu kwa wote wanaotaka kupanua maarifa yao na kufaulu katika mtihani.
Mwandishi wa kitabu hiki, Prof. Kitula King’ei, amewahi kufundisha Lugha na Fasihi ya Kiswahili kwa miaki mingi katika shule kadha za upili nchini Kenya. Kwa sasa, ni Profesa wa Lugha na Fasihi katika Chuo Kikuu cha Kenyatta.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “KCSE TOP MARK KISWAHILI”

Your email address will not be published. Required fields are marked *