Placeholder

You are viewing: Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 3

215 KSh
Add to cart

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 3

Category:

215 KSh

Description

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masualaibuka.

Katika Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 1, utapata:

mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya
mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji
mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.
Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa Umilisi.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 3”

Your email address will not be published. Required fields are marked *