Placeholder

You are viewing: Kiswahili Mufti Darasa la 1

250 KSh
Add to cart

Kiswahili Mufti Darasa la 1

Category:

250 KSh

Description

Toleo hili la Kiswahili Mufti 1 linatimiza kikamilifu mahitaji na mada zote za silabasi mpya iliyoanza kutekelezwa shuleni kuanzia 2003. Kitabu hiki kimeandikwa kwa uangalifu mkubwa ili kiweze kueleweka vizuri zaidi na wanafunzi wote kutoka mazingira mbalimbali. Msamiati uliotumika katika vifungu vya ufahamu unaafikiana vyema zaidi na uwezo wa lugha wa wanafunzi katika kiwango hiki. Toleo hili limeshughulikia kikamilifu maswala ibuka kama vile teknolojia ya habari na mawasiliano, mazingira, haki za watoto, UKIMWI, jinsia na maadili.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Mufti Darasa la 1”

Your email address will not be published. Required fields are marked *