Placeholder

You are viewing: Kiswahili Mufti Grade 2

230 KSh
Add to cart

Kiswahili Mufti Grade 2

Category:

230 KSh

Description

Toleo hili la Kiswahili Mufti 2 linatimiza kikamilifu mahitaji na mada zote za silabasi mpya iliyoanza kutekelezwa shuleni kuanzia 2003. Kitabu hiki kimeandikwa kwa uangalifu mkubwa ili kiweze kueleweka vizuri zaidi na wanafunzi wote kutoka mazingira mbalimbali. Msamiati uliotumika katika vifungu vya ufahamu unaafikiana vyema zaidi na uwezo wa lugha wa wanafunzi katika kiwango hiki. Toleo jipya la Kiswahili mufti 2 limeshughulikia kikamilifu maswala ibuka kama vile mfumo wa saa katika Kiswahili, teknolojia ya habari na mawasiliano, maelezo ya ngeli kwa undani na uwazi, mazingira, haki za watoto, UKIMWI, jinsia na maadili.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Mufti Grade 2”

Your email address will not be published. Required fields are marked *