Placeholder

You are viewing: Kitabu Changu cha Kiswahili

200 KSh
Add to cart

Kitabu Changu cha Kiswahili

Category:

200 KSh

Description

Kitabu hiki kimeandikwa nu mwandishi mwenye tajriba pana ya kufundishc katika Shule za Chekechea nchini Kenya. Muundo wa kitabu hiki utamsaidia mwanafunzi kupata msingi imam wa elimu ya kiwango cha Chekechea. Mwanafunzi anahakikishiwa stadi muhimu zinazohitajika katika kujenga msingi dhabiti masomoni. Kitabu hiki kitamsaidia mwanafunzi:

Kusoma vokali
Kusoma silabi za vokali
Kulinganisha picha na jina
Kuchora picha ya jina
Kutunga sentesi kutokana no picha Vitabu vingine katika msururu huu ni:
Kujaza nafasi kwa vokali
Kutunga maneno kwa vokali na silabi
Kuandika maneno vizuri
Kutunga sentesi kwa maneno
Kinyume, Tarakimu na Wingi

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kitabu Changu cha Kiswahili”

Your email address will not be published. Required fields are marked *