Placeholder

You are viewing: Kovu Moyoni

365 KSh
Add to cart

Kovu Moyoni

Category:

365 KSh

Description

“Hapa duniani si Makao yetu. Makao yetu yako mbinguni… Juu hakuna maradhi wala hakuna kifo. Hakuna hata nondo wa kuiba chochote ghalani.” Kovu Moyoni ni hadithi ya kusisimua inayosimulia matukio katika kijiji cha Siloko katika nchi huru ya Tandika. Inahusu mapambano ya mjane mmoja dhidi ya utawala dhalimu unaolinda na kulifadhili genge la Wanamgambo la vijana wanaoshambulia na kupora kijiji cha Siloko kwa kisingizio cha kuondoa watu wasio wenyeji. Serikali ambayo Boke anatarajia imlinde na mali yake inafeli katika jukumu lake la kimsingi na badala yake inalinda kundi lenye uwezo mkubwa la wanyakuzi wa ardhi na mibabe wa kivita.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kovu Moyoni”

Your email address will not be published. Required fields are marked *