Placeholder

You are viewing: Kusoma Na Kuandika Katika Kiswahili Gredi 1

230 KSh
Add to cart

Kusoma Na Kuandika Katika Kiswahili Gredi 1

Category:

230 KSh

Description

Kusoma na Kuandika katika Kiswahili, Gredi 1 ni kimoja miongoni mwa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa kuzingatia mtaala mpya unaokuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa utendaji na uvumbuzi wa maarifa. Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi kupata maarifa ya kimsingi, stadi zifaazo za kusoma na kuandika, mienendo miema na maadili ya kimaisha pamoja na utumizi kamili wa maarifa wanayoyapata darasani. Shughuli na mazoezi katika kitabu hiki zimejikita kwenye uzoefu wa wanafunzi wa kila siku pamoja na masuala ya kisasa na ibuka kama yalivyofafanuliwa kwenye mtaala mpya. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi na inayoibua tafakari tanduizi ili kukuza ujuzi wa kutafakari na kuimarisha stadi za kimaisha za usuluhishaji wa matatizo ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi katika jamii.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kusoma Na Kuandika Katika Kiswahili Gredi 1”

Your email address will not be published. Required fields are marked *