Placeholder

You are viewing: Laana ya Mkufu

200 KSh
Add to cart

Laana ya Mkufu

Category:

200 KSh

Description

“Mfalme Monamwezi hana muda mrefu wa kuishi. Anamrithisha ufalme mwanawe Kisangasanga. Mwanzoni, Kisangasanga anauendesha ufalme wa
Watambele vyema hadi anapoenda kinyume cha maagizo ya baba yake. Ufalme unaanza kuporomoka.
Mfalme Kisangasanga si mfalme wa wanadamu tena bali wa wanyama pangoni. Je, ataweza kurejea tena na
kuendelea na uongozi? Laana ya Mkufu ni hadithi yenye ujumbe wa kipekee wa kumnasa msomaji yeyote anayeisoma.”

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Laana ya Mkufu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *