Placeholder

You are viewing: Madhila ya Bi. Shufaa

100 KSh
Add to cart

Madhila ya Bi. Shufaa

Category:

100 KSh

Description

Bi. Shufaa, mwanamke mrembo mwenye heshima na jamala njema anachukuliwa kama kielelezo katika kijiji cha Mangelepa Mumewe ni mwenye mchwa katika juhudi za kuikidhia familia yake mahitaji. Lakini ‘Bwana Fukua’ diwani mwenye Utajiri mkubwa na aliye na virusi vya ukimwi, kwa matumizi ya utajiri wake anamnyemelea Bi.Shufaa na kumwambukiza. Madhila mengi yanamwandama Bi.Shufaa, Zuhura na Amina, bintize Bi.Shufaa wanageuka kuwa wapi-ganaji wakubwa dhidi ya maradhi ya ukimwi baada ya kushuhudia madhila yaliyomsibu mama yao.Wanakuwa mwangaza cosha kwa farMlia na dunia.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Madhila ya Bi. Shufaa”

Your email address will not be published. Required fields are marked *