Placeholder

You are viewing: Mama Hawezi Kunidhuru

589 KSh
Add to cart

Mama Hawezi Kunidhuru

Category:

589 KSh

Description

Wairimu ni msichana wa Kijiji aliyetamani sana kuishi mjini. Darubini ya wazazi wake haikutoka juu yake daima. Hata hivyo, mara kwa mara alikimbilia mjini ilimradi ndoto yake ya maisha ipate kutimia. Samueli ni kijana barubaru aliyemhusudu Wairimu licha ya kuwepo kizingiti cha dini. Alijaribu hata kumshawishi binti asiende mjini lakini juhudi zake zikaambulia patupu. Muda si muda, inagunduliwa kuwa Wairimu ni mjamzito. Mjukuu mwanaharamu atalelewa wapi? Je, mkamia maji ya mji atayanywa? Hii ni hadithi ya kusisimua hasa kwa vijana wanaojipata katika tandabui maishani.

Additional information

Publisher

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mama Hawezi Kunidhuru”

Your email address will not be published. Required fields are marked *