Placeholder

You are viewing: Manati ya Kiswahili

700 KSh
Add to cart

Manati ya Kiswahili

Category:

700 KSh

Description

“Manati ya Kiswahili, Toleo la KCPE ni mwongozo thabiti kwa mwanafunzi na
mwalimu katika maandalizi ya mtihani KCPE. Kina upekee na mbinu elekezi kwa wanafunzi na walimu kutokana na jinsi kilivyopangwa kukabiliana na mtihani wa Kiswahili kwa njia rahisi. Kitabu hiki ndicho dira ya kumwelekeza mshikadau yeyote hasa katika utunzi wa mitihani nchini na katika jumuiya zote zinazoshabikia Kiswahili ulimwenguni. Viwango vyake vinalandana moja kwa moja na vile vinavyotumiwa katika utunzi na utahininchini Kenya. Waandishi wa kitabu hiki, Tom Nyambeka na Nicodemus Nyambane, ni walimu waliobobea. Wana tajriba pana na uzoefu katika ufundishaji na utahini wa Kiswahili katika
shule za msingi. Mbinu zilizotumiwa kwenye uwasilishaji wa kitabu hiki ndizo hizo waandishi wenyewe wamekuwa wakizitumia wakaibuka kwa alama maridhawa katika shule zao na taifa zima kwa jumla. Waandishi hawa wamejitahidi kuyaziba mapengo bayana katika Kiswahili na kuihakiki hiyo silabasi na kutuandalia ‘manati’ itakayowasaidia wanafunzi na walimu kupata lengo walilolikusudia.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Manati ya Kiswahili”

Your email address will not be published. Required fields are marked *