Placeholder

You are viewing: Maskini Popo

88 KSh
Add to cart

Maskini Popo

Category:

88 KSh

Description

Hapo zamani za kale kulikuwa na nyanya mmoja. Nyanya huyo alikuwa na wajukuu kadhaa. Yeye aliitwa Ajuza. Alikuwa akiwahadithia wajukuu hao hadithi tamu tamu. Walimpenda kwa sababu hiyo.
Siku moja alikuwa ameketi karibu na jiko akipika. Aliwaita wajukuu wake wote. Waliingia mle nyumbani mwa Ajuza.
Walijaa nyumbani humo. Nyanya alianza kuwasimulia hadithi.
“Wajukuu wangu leo niwahadithie nini?” Kila mjukuu alitega sikio lake. Wakatulia tuli. Walijua kuwa hadithi za Ajuza hufurahisha sana.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Maskini Popo”

Your email address will not be published. Required fields are marked *