Placeholder

You are viewing: Masomo ya Msingi ya Kiswahili Darasa la 6

435 KSh
Add to cart

Masomo ya Msingi ya Kiswahili Darasa la 6

Category:

435 KSh

Description

Masomo ya Msingi 6 ni kitabu cha Sita katika mfululizo wa vitabu vinane vya Kiswahili katika Shule za Msingi. Kila kimoja cha vitabu hivi kinakuza masomo ya kitabu kinachofuata. Vitabu hivi vimeandikwa upya kulingana na matarajio ya ratiba iliyotolewa na Taasisi ya Elimu (2002). Kitabu hiki kinafundisha lugha kutegemea stadi na maarifa kama inavyopendekezwa na taasisi ya Elimu ya Kenya. Masomo katika Masomo ya Msingi 6 yamepangwa kulingana na mgawo wa stadi zilizoko kwenye silabasi.Kila sura katika kitabu hiki imegawika kama ifuatavyo:

A. UfahamuB. Sarufi C. Msamiati D. Kusoma E. Kuandika

Kitabu hiki kimejengwa katika misingi thabiti ya hatua kwa hatua, hali ambayo itamwezesha mwanafunzi kusoma taratibu na katika hali ya kujiendeleza. Waandishi wa mfululizo huu wa Masomo ya Msingi ni wenye tajriba kuu katika ualimu na wanayafahamu mahitaji ya wanafunzi waliowaandikia. Tunatumaini kuwa mfululizo wa masomo haya utakuwa mwangaza kwa wote.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Masomo ya Msingi ya Kiswahili Darasa la 6”

Your email address will not be published. Required fields are marked *