Placeholder

You are viewing: Mateso ya Johari

151 KSh
Add to cart

Mateso ya Johari

Category:

151 KSh

Description

Maisha yanapokuwa magumu kijijini, Johari anasaidiwa na mzee Magufuli kuiondokea hali hiyo. Anapoondoka kijjini, anakumbana na maisha tofauti; maisha yanayotisha na kuzubaisha. Je, bahati yake itaipata mjini? Atarejea kijijini? Soma hadithi hii ya kusisimua upate majibu ya maswali haya. Mateso ya Joharini hadithi inayosimuliwa kwa ufundi mkubwa na inayoibua mseto wa hisia. Ina mafunzo adhimu yatakayomfaidi msomaji chipukizi.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mateso ya Johari”

Your email address will not be published. Required fields are marked *