Placeholder

You are viewing: Mchezo wa Mtelezo na Hadithi Nyingine

100 KSh
Add to cart

Mchezo wa Mtelezo na Hadithi Nyingine

Category:

100 KSh

Description

“Katika Mchezo wa Mtelezo, Mwalimu mkuu anawashauri wanafunzi kwenda nyumbani mapema kwani shule yao itatumiwa kugawa chakula cha msaada. Hata hivyo, baadhi ya wanafunzi wanakiuka ushauri huo. Wanajiingiza katika mchezo wa mtelezo kwa muda mrefu. Hawajali athari za kushindana na kutumbukia majini. Mvua kubwa inapoanza kunyesha, inawalazimu wanafunzi hao kutafuta mahala pa kujikinga. Masaibu yao yanachacha wanapojikuta mikononi mwa mwalimu mkuu. Soma hadithi ujifahamishe adhabu wanayopata.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mchezo wa Mtelezo na Hadithi Nyingine”

Your email address will not be published. Required fields are marked *