Placeholder

You are viewing: Michezo Yetu

88 KSh
Add to cart

Michezo Yetu

Category:

88 KSh

Description

Nilipokuwa mdogo, nilikuwa napenda kucheza sana. Tulicheza michezo mingi.
Shule ilikuwa mbali na tulikoishi. Nililazimika kuamka asubuhi na mapema ili kujitayarisha kabla ya kuanza mwendo wa kwenda shule.
Shule yetu ilikuwa shule ya umma. Haikuwa na basi la kubebea wanafunzi. Ilibidi kutembea kwenda na kurudi kutoka shule kila siku.
Ilinilazimu kutembea bila viatu. Wanafunzi wengi pia walikuwa hawana viatu. Ni wachache tu walikuwa wakivaa viatu. Lakini, hatukujali

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Michezo Yetu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *