Placeholder

You are viewing: Mikasa ya Joseph Juma

100 KSh
Add to cart

Mikasa ya Joseph Juma

Category:

100 KSh

Description

Leo Odera Omolo ni mkulima, mfanyi biashara na mwandishi wa habari na vitabu. Amewahi kufanya kazi mbalimbali kama vile kibarua, tani-boi, mhubiri wa VIOL afisa wa starehe, mwandishi wa makala ya michezo na msaidizi katika mambo ya uhusiano miongoni mwa watu. Baada ya kufanya kazi za aina flying, ameweza kujua sana mambo yanayowahusu binadamu na maisha yao ya kila siku.

Bwana Omolo ametunga vitabu vingine katika mfululizo wa Hadithi za Kusisimua’Mtaka Yote Hukosa Yote’. Kisa cha Hamisi’, Taabu za Mambo’, ‘Mtu Mwenye Miwani Maus!’ na ‘Mwerevu Hajinyoi’. Pia ameandika ‘Shujaa na Nyati’na ‘Wajinga Ndio Waliwao’ katika mfululizo wa Ngano za Kuchangamsha.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mikasa ya Joseph Juma”

Your email address will not be published. Required fields are marked *