Placeholder

You are viewing: Mkono wa Sheria

132 KSh
Add to cart

Mkono wa Sheria

Category:

132 KSh

Description

Musa Kibaya anatimuliwa kutoka shule yoke ya sita. Anahisi kwamba hii ni rekodi katika umri wake wa miaka kumi na mitano pekee. ingawa kwa namna fulani anaionea fahari. Hofu yake to ni jinsi Mjomba wake. SiIasi, atakavyolichukulia suala hili …

Silasi anapogundua kutimuliwa kwake, anampeleka Musa katika shule yoke ya saba. Mukibi’s Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Kumbe, hapo ndipo vituko vya Musa vinapoanza.

Musa ni kitabu cha kwanza katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa no Barbara Kimenye.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mkono wa Sheria”

Your email address will not be published. Required fields are marked *