Placeholder

You are viewing: MTP Mazoezi ya Kiswahili Grade 1

133 KSh
Add to cart

MTP Mazoezi ya Kiswahili Grade 1

Category:

133 KSh

Description

Kitabu hiki kinamsaidia mwanafunzi kuweza:

Kutumia mbinu zifaazo za usikivu katika mawasiliano katika mazingira yake.

Kudhihirisha ufasaha wa kuzungumza kwa Kiswahili.

Kusoma kwa ufasaha na kufahamu aina zozote za maandishi ya Kiswahili.

Kuelezea mawazo, hisia na tajiriba kwa maandishi ya mkono au mbinu nyingine yoyote ya uwasilishaji.

Kutumia sarufi ipasayyo katika mawasiliano.

Kutumia msamiati ufaao katika mazingira yake kuwasiliana.

Kuonyesha ukakamavu katika kuwasitisha masuala yanayomkabili na yanayokabili mazingira yake.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “MTP Mazoezi ya Kiswahili Grade 1”

Your email address will not be published. Required fields are marked *