Placeholder

You are viewing: Mwisho wa Ujambazi

100 KSh
Add to cart

Mwisho wa Ujambazi

Category:

100 KSh

Description

“Matata amemaliza kifungo chake na hatimaye kutoka gerezani. Huu ni mwanzo wa shida nyingi hasa katika shule nyingi za upili nchini. Matata na wenzake wawili Wembe na Kamaliza wameazimia kuwavurugia maisha wanafunzi kwa kuwauzia mihadarati. Matata ni jambazi sugu ambaye anawatetemesha maafisa wa polisi. Je atatiwa mbaroni tena pamoja na wenzake? Mwisho wa Ujambazi ni
hadithi iliyofumwa na kufikia upeo wa kipekee ambao unamnasa msomaji pindi tu aanzapo kusoma.”

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mwisho wa Ujambazi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *