Placeholder

You are viewing: Ngome ya mianzi

100 KSh
Add to cart

Ngome ya mianzi

Category:

100 KSh

Description

“Fikirini wenyewe jinsi gani mnaweza kuitumia silaha hiyo kujihami. Leo lazima Mianzi ya chuma ya watoka mbali ipambane na mianzi yetu ya asili. Mwanzi wa kweli utajulikana kesho… silaha kali: silaha ya mianzi, ngome ya mianzi, moto wa mianzi, mtego wa mianzi…”

Vijana wawili wadogo, Muhoga na Nyawelu wanapoanza safari ndefu ya kumwokoa mamake Muhoga, hawajui kwamba safari yao itageuka vita vikali vya kukiokoa kijiji kizima kwa usaidizi wa mianzi.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Ngome ya mianzi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *