Placeholder

You are viewing: Nuru Ya Mwabonje

100 KSh
Add to cart

Nuru Ya Mwabonje

Category:

100 KSh

Description

Mwabonje alizaliwa kutoka katika familia maskini sana. Kijiji chao ni uchwara na kupata chakula, matibabu au elimu ni kwa bahati tu. Ugonjwa wa kifafa ni tatizo ambalo linamsumbua kijana huyu mpaka karibu akate tamaa. Lakini kwa ujasiri na ukakamavu wake, Mwabonje anajitahidi kwa jino na ukucha kwa kusoma bila kukoma. Nidhamu ya hali ya juu na uvumilivu vinampetekea kupita mitihani yoke. Baada ya kumatiza Chuo Kikuu cha Makerere Mwabonje atakuwa nini? Atakuwa mwanga, kielelezo, tambara au nuru katika giza?

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Nuru Ya Mwabonje”

Your email address will not be published. Required fields are marked *