Placeholder

You are viewing: Sara Amwokoa Juma

125 KSh
Add to cart

Sara Amwokoa Juma

Category:

125 KSh

Description

Sara na rafiki zake Dina na Layla wanacheza mchezo wa ?kuepa mpira? karibu na lango la shule yao. Mara, Layla anaurusha mpira kwa nguvu. Unapaa juu na kuanguka barabarani nje ya ua wa shule. Kwa vile hawajatosheka na mchezo, wanafikiria vile wataupata mpira wao. Wanaogopa kwenda barabarani. Mwishowe, wanamtuma Juma kwenda kuwaletea mpira. Juma anapotoka nje ya lango la shule, anavamiwa na watekaji nyara na kutoroshwa kwa gari. Harakati za kumtafuta Juma zinaanza.

Additional information

Publisher

asin

B01GEI2URM

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Sara Amwokoa Juma”

Your email address will not be published. Required fields are marked *