Placeholder

You are viewing: Shangazi Katili

100 KSh
Add to cart

Shangazi Katili

Category:

100 KSh

Description

Makena anayaishi maisha ya mateso chini ya shangazi yake. Juhudi za majirani kumwokoa zinashindwa hasa kwa sababu Makena hajiamini. Anaamini yeye ni yatima baada ya kuwapoteza wazazi wote ajalini. Hadi siku anapokipata kijipande cha barua kutoka kwa baba yake wakati anafua nguo za shangazi. Soma hadithi ushuhudie jinsi anavyosaidiwa na marafiki kumtafuta babake na kuyatoroka mateso ya shangazi katili.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Shangazi Katili”

Your email address will not be published. Required fields are marked *