Placeholder

You are viewing: Sitaki Iwe Siri

100 KSh
Add to cart

Sitaki Iwe Siri

Category:

100 KSh

Description

Musa, mvulana wa darasa la sita anashtukia kuwa yeye pamoja na dada zake wawili, Haki na Ukwa ni mayatima. Chanzo cha hali yao ya uyatima ni siri kubwa na nyanya Mwalongo hataki kuwafichulia hawa wajukuu zake siri ya chanzo cha vifo vya wazazi wao. Musa anapopata fursa ya kuandika insha kuhusu UKIMWI, anaamua kuumwaga mtama. Janga la ukimwi linakuwa si siri tena, japo liliwatia uyatimani. Musa, Haki na Ukwa wanakuwa mifano bora ya kueneza ukweli kuhusu ukimwi.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Sitaki Iwe Siri”

Your email address will not be published. Required fields are marked *