Placeholder

You are viewing: Soma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili, Mwongozo wa Mwalimu Gredi 3

245 KSh
Add to cart

Soma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili, Mwongozo wa Mwalimu Gredi 3

Category:

245 KSh

Description

Soma nasi, Kusoma na kuandika Kisuiahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi zo kusikiliza, kuzungumzo. kusoma no kuandika. Aidha, vino mazoezi murua ambayo yotampa mwonafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwo, maadili na kufahamisha kuhusu masualaibuka .
Soma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili. Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya 3 king mifano halisi no ya kutosho kumwezesho mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata:

utangulizi wo kino kuhusu mtalaa huu mpyo wo umilisi muhtasari wa umilisi.
Muhtasari wa umilisi, maadili, masualaibuka no shughuli nyinginezo zilizoratibiwo kufundishwa katika kilo sura
matokeo maalumu. maandalizi ya somo no shughuli za ufunzoji wa kilo somo
mapendekezo yo ma jibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwonofunzi
mapendekezo ya shughuli za wanafunzi nje yo darasa
maelekezo ya kino kuhusu jinni ya kutathmini wanafunzi.
Soma nasi, Kusoma na Kuandika Kisuahili, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja no Mwongozo wa Mwalimu vino shughuli, mazoezi no maelekezo tosha ambayo mwanafunzi no mwalimu watahitaji ili kufaulu katika mtalaa huu mpyo wa Umilisi.

Oxford. chaguo lako!

Additional information

Publisher

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Soma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili, Mwongozo wa Mwalimu Gredi 3”

Your email address will not be published. Required fields are marked *