Placeholder

You are viewing: Tausi na Majuto Katika Safari ya Mabwe

100 KSh
Add to cart

Tausi na Majuto Katika Safari ya Mabwe

Category:

100 KSh

Description

Tausi na nduguye Majuto ambao ni machokoraa wanagundua chombo cha ajabu kwenye biwi la taka. Wanapoingia ndani hawatoki tena. Wanatekwa nyara na viumbe wa ajabu na safari ya Mabwe inaanza, safari ya kuelekea sayari ya Mirihi. Je vijana hawa watafanikiwa
kurejea duniani? Safari ya Mabwe ni hadithi ambayo imesukwa kwa utaalamu usio kifani. Hebu fungua ukurasa wa kwanza uanze kusoma.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Tausi na Majuto Katika Safari ya Mabwe”

Your email address will not be published. Required fields are marked *