Placeholder

You are viewing: Vioja Vya Musa

150 KSh
Add to cart

Vioja Vya Musa

Category:

150 KSh

Description

Fumbo Musa ni kijana anyetoka katika familia maskini hohe hahe. Hata hivyo, mwajiri wa babake anaamua kumlipia karo ili asomee shule ya mabweni ya Kaachonjo. Kule anakumbana na hali ngumu kwa kuwa wanafunzi wengi wanatoka katika familia tajiri. Ingawa kwa bahati nzuri, anateuliwa kirnja mkuu, anagundua kuwa wanafunzi wengine wanambeuana kumcheka. Anaamua kushiriki katika maovu ili kuinua hali yak epale shuleni. Jambo hili linamzushia balaa belua, visa, vioja na mikasa kiasi cha kutimuliwa shule na kuingilia maisha ya utu kujitegemea. huu ndio mwanzo wa visa na vioja zaidi kinyume na matarajio ya Musa…

Additional information

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Vioja Vya Musa”

Your email address will not be published. Required fields are marked *