Placeholder

You are viewing: Zeu na Hadithi Nyingine

100 KSh
Add to cart

Zeu na Hadithi Nyingine

Category:

100 KSh

Description

Zeu na Hadithi Nyingine ni Mkusanyiko wa hadithi kutoka Ugiriki. Ngano hizi zinasimulia asili ya vitu mbalimbali ikiwemo; maisha ya Wagiriki, imani na miungu yao, utamaduni na Maadili, siLka, kaida na miiko ya jamii hii. Kitabu hiki, kimesimulia kuhusu miungu mbalimbali na majukumu yao katika kuelekeza na kuamua hatima ya jamii yaWagiriki. Hata hivyo, hadithi hizi zinafaa sang kwa jamii zote za dunia. Hadithi hizi zimekusudiwa kujenga mahusiano memo baina ya watu katika jamii pamoja na kuwaelimisha.

Additional information

Publisher

Author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Zeu na Hadithi Nyingine”

Your email address will not be published. Required fields are marked *